Hehehe - Eti Wabongo mlifika huku lini

kanisani kwetu arusha watu wanatoa sadaka kshs hadi usd...unasemaje hapo kwa hoja hiyo???

Haya tumalize ugomvi, basi tuseme ni Mkenya, ila sasa yaani nilipie tendo la ndoa 20,000 Kshs hizo ni 400,000 Tshs kwa hela za Bongo......hehehehe! Muache utani bana. Hayo mambo ya kuagiza risiti hata ukinunua pipi naona yanaenda kubaya.
 
Hii safi sana. Maana tulishaagizwa kwamba na mh kwamba ukienda hotelini, omba risiti.Ukienda dukani omba risiti. Chochote utakachokwenda kununua, omba risiti. TRA tu ndiyo inazembea, iwape kabisa mashine za EFD
 
Haya tumalize ugomvi, basi tuseme ni Mkenya, ila sasa yaani nilipie tendo la ndoa 20,000 Kshs hizo ni 400,000 Tshs kwa hela za Bongo......hehehehe! Muache utani bana. Hayo mambo ya kuagiza risiti hata ukinunua pipi naona yanaenda kubaya.

huyo bi ashura ni mkenya wa mombasa,bw abdula wa ni tanga,kaja mombasa na chenji zake toka tanganyika kafanyiwa biashara na bi ashura,na hyo ndio risiti!wameimarisha uhusiano wa afrika mashariki!cheers
 
Hehehe!! Uhusiano EAC udumu milele, ila Kenya hatuagizi risiti, yanaishia kule ndani na kutoka kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…