Hehehe, Total has officially suspended all activities of Uganda-Tabzania oil pipeline until further notice.

Oooh Poor boy, we are not comparing the oils in Kenya with that in Uganda. What we are doing in this thread is discussing about the collapsed construction of pipeline from Ug to Tanga.[emoji23]
Hahaha. Hold my glass of beer
 
Bila investor then hii itakuwa ni stori ya vijiweni. Total ambaye ndio mwenye pesa keshasepa hivi mradi utaendelea vipi bila pesa?
 
Kenyans have been trucking 200,000 barrels of oil from lokichir to mombasa port from 2015. You are failed state. Mnakuja hapa kupiga kelele and you are doing stupid things
2018. Hebu rudi kasome tena hio article vizuri
 
Endeleeni kuleta maneno ya kanga wakati kila kitu kishakamilika na ujenzi unaanza rasmi hehhehe tanzania inawanyima usingizi mumebakia kulia kama mademu🀣🀣🀣
 
Naona kuna kitu hamuelewi kusitisha sio kua haitajengwa someni hapa muelewe πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Na haya ni mambo ambayo yatarekebishwa sasa hvi

2018. Hebu rudi kasome tena hio article vizuri
In line with the EOPS, which commenced around June 2018, several barrels of test crude produced from well-testing exercises dating back to 2015, were periodically trucked from the Lokichar wells to the Mombasa storage facility and stocked, until an optimum shipping target amount of 200,000 barrels was reached, and thereafter sold.

Soma hiyo paragraph. Hahahah
 
Reactions: Oii
Trucking started last year. Ficha upumbavu wako
In line with the EOPS, which commenced around June 2018, several barrels of test crude produced from well-testing exercises dating back to 2015, were periodically trucked from the Lokichar wells to the Mombasa storage facility and stocked, until an optimum shipping target amount of 200,000 barrels was reached, and thereafter sold.

Is 2015 lat year?
 
Reactions: Oii
Boss, kiingereza kinakutesa kweli kweli. 'Well testing excercises' ndio zina 'date' back to 2015. Trucking ilianza around June, 2018.
 
Hatukuwa tunapumua huku. Tulikuwa tunakumbushwa jinsi Kenya ni shithole ndio maana tulipoteza pipeline to the mighty Tanzania. Hohoho. Cc joto la jiwe
So now you regain the pipeline? Or what? Because I don't see the logic behind.

The share transaction confusion has nothing to do with the route alternations.
 
So now you regain the pipeline? Or what? Because I don't see the logic behind.

The share transaction confusion has nothing to do with the route alternations.
MK254 Tafadhali hebu nitafsirie huyu jamaa anajaribu kusema nini hapo mahali nimeweka bold maana wewe ndiye umeishi Tanzania kwa muda mrefu. Pengine mimi tu ndio sielewi kiingereza cha Tanzania.
 
MK254 Tafadhali hebu nitafsirie huyu jamaa anajaribu kusema nini hapo kwenye nimeweka bold maana wewe ndiye umeishi Tanzania kwa muda mrefu. Pengine mimi tu ndio sielewi kiingereza cha Tanzania.
A chicken's head owner never gives you much manoeuvres to notice him.
 
A chicken's head owner never gives you much manoeuvres to notice him.
Haha Kiingereza chako kimeoza. Mbona usijikite kwenye kiswahili lugha ya taifa unayoifahamu? Ama ndio kukimbizana na Wakenya kuonyesha kwamba wewe pia unaweza longa queens language? Sitiri ujuha wako wewe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chicken head stay inside your cages please
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chicken head stay inside your cages please
"The share transaction confusion has nothing to do with the route alternations."

Huu ni ujuha gani uliandika ambao nimenukuu hapo juu? Tafsiri kwa kiswahili la sivyo utaonekana zumbukuku wa mwisho
 
MK254 Tafadhali hebu nitafsirie huyu jamaa anajaribu kusema nini hapo mahali nimeweka bold maana wewe ndiye umeishi Tanzania kwa muda mrefu. Pengine mimi tu ndio sielewi kiingereza cha Tanzania.

Hehehe!! Ndio zao hawa, miaka yote hii hujibizana na Wakenya humu lakini kingereza chao hakijawahi kuboreka, bado ni zile zezeze.
Hebu waza huyo hapo kaandika, ambapo utategemea lugha ya uandishi kuwa bora maana anayo fursa ya kuhariri, hebu fikiria akiongea inakuaje, yaani magumashi balaa.
 
"The share transaction confusion has nothing to do with the route alternations."

Huu ni ujuha mgani uliandika ambao nimenukuu hapo juu? Tafsiri kwa kiswahili la sivyo utaonekana zumbukuku wa mwisho
Maintain some good kilometers whenever you spot my presence for your stupidity sake, normally I can't stand layers head πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…