Hehehe Wabongo kuweni na hofu ya Mungu, mbona mtumie picha zetu kusifia SGR yenu

Hehehe Wabongo kuweni na hofu ya Mungu, mbona mtumie picha zetu kusifia SGR yenu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii nimeipata imefunguliwa uzi kwenye jukwaa la Watanzania, wanatupiana vijembe huko ila nimeona busara kuileta kwa Wakenya, sijui panic gani imewaingia wadau wa chama chao kile hadi wameamua kujishusha kiasi hiki.
Labda inahusiana na kwamba uchaguzi wao umesalia mwaka mmoja.

Uzi wenyewe huu huku Picha SGR zawaumbua CCM na Makada wao - JamiiForums

IMG_20190121_103408.jpeg
 
View attachment 1001006
Tusamehe bure, hayo ni madhara ya jiwe, hata sisi wenyewe tunashangaa jinsi jiwe linavyobiringika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na si walituimbia nyimbo za kusifu kinyonga hapa ,hatukuwa na usingizi hata kidogo
 
Hasa kilicho wafanya mshoboke nini
SGR haijengwi Tanzania!!
Mliwahi sema Daraja la Kigamboni ni Lenu kenya
kwani mbona haijawa nshu
Nilikuwa wakwanza kumuambia Mwigulu hiyo sio Tanzania
SGR Tanzania ni nzuri kuliko huo Uozo mtupu
SGR ya Tanzania ina nguzo za Umeme
 
Kuna picha zakujivunia si
hizo picha ni uharo na ushenzi mtupu
Sijui naye kanywa Tongwa la wapi kaniboa
unkosa chakuchukua ukachukue SGR ya kijinga jinga hovyo kabisa
SGR zetu ni Bora mara 100 kuliko upumbavu huo
mwigulu wacha Dharau Usifananisha SGR ya Tanzania na ujinga Umeboa
 
Kua mpole,ikifika Nov treni hazijaanza kutembea unaweza tubeza utavyoweza,uyo mh kajichanganya nadhan hajawah hata tembelea mradi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm jana Mwigulu aliniharibia siku
nibora angechukua SGR ya Ethiopia walau kidogo
kuliko huo Uchafu hovyo kabisa
karne hii mtu unatumia ghalama kubwa unaleta mitungi eti Treni
Inakera sana
 
Back
Top Bottom