mkuu ni ccm hao, baada ya kuona wanaelemewa na Hoja za T.L wanajaribu poza mashambulizi.
huyo waziri ndo maana aliondolewa maana nae umeme mdogo
Tusamehe bure, hayo ni madhara ya jiwe, hata sisi wenyewe tunashangaa jinsi jiwe linavyobiringikaHii nimeipata imefunguliwa uzi kwenye jukwaa la Watanzania, wanatupiana vijembe huko ila nimeona busara kuileta kwa Wakenya, sijui panic gani imewaingia wadau wa chama chao kile hadi wameamua kujishusha kiasi hiki.
Labda inahusiana na kwamba uchaguzi wao umesalia mwaka mmoja.
Uzi wenyewe huu huku Picha SGR zawaumbua CCM na Makada wao - JamiiForums
View attachment 1001006
Aisee ccm wanalitia aibu sana taifa letu
Ficha upumbavu wako na wewe aibu ipi kwalipi hasaAisee ccm wanalitia aibu sana taifa letu
Wewe nawe saivi umesha kuwa Kibendera huna lolote
Kama ni nzuri kama unavo sema mbona uyo mbunge wenyu asiweke iyo poa yunu,mbona aweeke yetu....wabongo hamjaboo na mdomoFicha upumbavu wako na wewe aibu ipi kwalipi hasa
Tena SGR ya Tanzania ni nzuri kuliko upuuzi huo
Ccm kwa muda wa Miaka 3Aisee ccm wanalitia aibu sana taifa letu
Ndio maana tulimwambia aache kutushushaKama ni nzuri kama unavo sema mbona uyo mbunge wenyu asiweke iyo poa yunu,mbona aweeke yetu....wabongo hamjaboo na mdomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua mpole,ikifika Nov treni hazijaanza kutembea unaweza tubeza utavyoweza,uyo mh kajichanganya nadhan hajawah hata tembelea mradiUjenzi wa SGR Tz ni kama ulikwama joto la jiwe REDEEMER. Geza Ulole MOTOCHINI kadoda11 ichoboy01 tuusan mulisaaa
Mm jana Mwigulu aliniharibia sikuKua mpole,ikifika Nov treni hazijaanza kutembea unaweza tubeza utavyoweza,uyo mh kajichanganya nadhan hajawah hata tembelea mradi
Sent using Jamii Forums mobile app