Hehehe!! Wabongo kwa mazoea

Tusaidieni kuiloga ccm ife kwani ccm ndio mlezi wa ujinga.
 
Huyo alikuwa anavuka sehemu ya pundamilia anasimamisha basi ili atumie haki yake ya kuvuka barabara sehemu husika
 
Hivi haya mabasi siku hizi mnayasimamisha kama daladala za kawaida.

Ndio umeiona Leo! Hio mbona IPO tangu kitambo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humuhumu jf au nimwite lusematic akuoneshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…