Hehehe!! Wabongo kwa mazoea

Hivi haya mabasi siku hizi mnayasimamisha kama daladala za kawaida.

Huyo alikuwa anaomba kuvuka barabara si unaona amesimama kwenye zebra crossing. Ila i get it it was a joke. Ha. Ha.
 
Haha waswahili bwana! Imenikumbusha ile kauli ya magu eti waache kujisaidia kwenye vituo vya mwendokasi[emoji2] , video nitaiweka humu..aisee kwa ss hivi vituo lazma vimejaa inye[emoji90]
 
Haha waswahili bwana! Imenikumbusha ile kauli ya magu eti waache kujisaidia kwenye vituo vya mwendokasi[emoji2] , video nitaiweka humu..aisee kwa ss hivi vituo lazma vimejaa inye[emoji90]

Pambavuuu... Umenianzishia Jumatatu kwa kicheko jameni mbavu zangu.....
 
Hivi haya mabasi siku hizi mnayasimamisha kama daladala za kawaida.

Huyu ni mgeni toka Kenya (possibly a Kikuyu)....hajuwi sheria za hapa mjini when it comes to mwendo kasi. Yeye anafikiri ya Kenya yana apply hapa Tanzania, here we do NOT kataza bus kutembea barabarani. Si unaona katoka Kenya with a plastic bag wakati hapa Tanzania tumekataza plastic bags kutumika. Karibuni mjini ndugu zetu.
 
Lol! Hapa Kenya, kama uko stage ya basi hamna haja ya kuflag, zitasimama tu. Wao ndio watakuomba uingie, not the other way round
 
Halafu kwetu ukisimamisha basi sehemu ambapo hamna stendi, wewe na dereva mnakamatwa.
 
Halafu kwetu ukisimamisha basi sehemu ambapo hamna stendi, wewe na dereva mnakamatwa.
Wadanganye wengine, tunao juwa hautudamganyi. Hii video chini hutakuja kuona kwenye mwendo kasi.

Halafu hii rushwa Kenya mpaka lini? Wenzenu Tanzania traffic wetu siku hizi wameshika adabu. 95% ya fine za makosa ya barabarani zinaemda serikalini. Polisi wote wana progress report, usucheze na Magu.

Kha!! Polisi wale wa kibongobongo mbona vituko, wanasahau wapo barabarani kwa ajili ya usalama wa wasafiri na kufanya yao...

Kha!! Polisi wale wa kibongobongo mbona vituko, wanasahau wapo barabarani kwa ajili ya usalama wa wasafiri na kufanya yao...

View attachment 534858
Wewe umeanza kuishiwa hoja, sijuwi ni njaa ya mahindi maana umejaza nyuzi za mahindi mpaka basi.

Rushwa inatia kichefu chefu Kenya, na inaonekana imewatowa ufahamu.

Lol! Hapa Kenya, kama uko stage ya basi hamna haja ya kuflag, zitasimama tu. Wao ndio watakuomba uingie, not the other way round

Na Tanzania we don't do this....huyu jamaa ni mgeni wetu from north of the border that's why he's carrying that banned plastic bag in town.
 
Halafu kwetu ukisimamisha basi sehemu ambapo hamna stendi, wewe na dereva mnakamatwa.

Sasa huyu atakuwa katokea wapi huko Kenya. I know he's a Kenyan bcs of his looks and him carrying that banned plastic bag in town. Alikuwa hajuwi kuwa TZ ya late 70's to mid 80's ain't the same today. The following is just a beginning for those who don't know:

Down Town

The Other Part of Dar (Not the actual downtown)....Kisutu, Mnazi Mmoja /Kariakoo Area.
 
Na Tanzania we don't do this....huyu jamaa ni mgeni wetu from north of the border that's why he's carrying that banned plastic bag in town.

Take it easy. We know he was only trying to slow down the bus to cross the street.
Whether he's Tanzanian or not, it doesnt matter.
 
Hehehe na hao walio karibu naye wamevaa kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…