Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmhhhh.... mi nahisi labda kwa kuwa amesave ban kwa mara ya kwanza..... na ikaangukia kwa Chilli
Ngoja nifurahie nishereheke pamoja nawe. BAN! Ban! BaN! bAn! wooyeeeee! Nasikia hapa kuna mwarabu wa dubai kavaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu. Leo nimeoteshwa kuwa huyu mwarabu wa dubai ni mtumishi wa sevani kaja huku uraiani kwa sura ya mbuzi.mtumishi wa sevani kavaa korokoto
Raha jipe mwenyewe aisee. Laugh like there is no tomorrow!