Heheheeee...Raha iliyojeee!!!

manoah kapigwa ban ya week mbili, chilly sina uhakika ila jamaa anatuhuma za kuwapandisha munkari wenzake halafu wanaingia ndani ya kumi na nane za MoDs na kufanyiwa!!!

Kifupi jamaa hapendwi sana hapa kama kama mpiga debe anabore abiria!!
 
Last edited by a moderator:
I don't know anything. . . is manoah banned? Oh. . .
 
Last edited by a moderator:
there must be a reason,find out ni ipi hiyo usifurahi tu kizembe
 
Ngoja nifurahie nishereheke pamoja nawe. BAN! Ban! BaN! bAn! wooyeeeee! Nasikia hapa kuna mwarabu wa dubai kavaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu. Leo nimeoteshwa kuwa huyu mwarabu wa dubai ni mtumishi wa sevani kaja huku uraiani kwa sura ya mbuzi.mtumishi wa sevani kavaa korokoto
 
Tunahitaji dr wa vichaa kama ni hivi. Kufurahia janga la muungwana ni uchawi.
 
Kweli wewe ni Mndali yaanimwafurahia wenzio kulimwa ban? Duniani kuna watu na viatu

We Dena Amsi,nani kakuambia mie nafurahia mtu kulimwa BAN?
Mie nimeanzisha uzi jana asubuhi nikiwa na furaha zangu!!
 
Last edited by a moderator:

Wewe Slave vipi wewe?
Unasherehekea na mimi BAN,kwani mie nasherehekea hilo?
Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ndio limenipelekea kufurahia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…