life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,035 Aug 16, 2019 #21 Tanzania ni nchi kubwa yenye visiwa ktk bahari na maziwa makuu !!
Chief Sam JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 2,483 Reaction score 4,675 Aug 17, 2019 #22 MK254 said: Huu ndio mtaji wa wajanja.... Click to expand... Kubwa jinga.msubiri Natasha awaletee Uncle tupumzike
MK254 said: Huu ndio mtaji wa wajanja.... Click to expand... Kubwa jinga.msubiri Natasha awaletee Uncle tupumzike
B Bwana254 JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 846 Reaction score 632 Aug 17, 2019 #23 Papi Chulo said: Unazingatia vitu vingine havina hata maana,hiyo ni challenge commedy show..sijui kama kenya inaweza kuwepo! Click to expand... Comedy show kubwa zaidi Afrika Mashariki ilikuwemo huko Tz iliitwa "ujamaa" ndio mkabadilisha baada ya kuzorota kiuchumi na kimaendeleo.
Papi Chulo said: Unazingatia vitu vingine havina hata maana,hiyo ni challenge commedy show..sijui kama kenya inaweza kuwepo! Click to expand... Comedy show kubwa zaidi Afrika Mashariki ilikuwemo huko Tz iliitwa "ujamaa" ndio mkabadilisha baada ya kuzorota kiuchumi na kimaendeleo.
Papi Chulo JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 6,260 Reaction score 7,395 Aug 17, 2019 #24 Bwana254 said: Comedy show kubwa zaidi Afrika Mashariki ilikuwemo huko Tz iliitwa "ujamaa" ndio mkabadilisha baada ya kuzorota kiuchumi na kimaendeleo. Click to expand... Ohooo your brain is missing..see your doctor!
Bwana254 said: Comedy show kubwa zaidi Afrika Mashariki ilikuwemo huko Tz iliitwa "ujamaa" ndio mkabadilisha baada ya kuzorota kiuchumi na kimaendeleo. Click to expand... Ohooo your brain is missing..see your doctor!