Height of maths logic..

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,328
Reaction score
23,909
Hii ni logic tulifunzwa pale Majengo sec na Kinunda..
mbishi alete facts!

Let's do some mathemetics for study & its result.
Eq.1: Study=Don't Fail
Eq.2: Don't Study=Fail
Add Eq.1 to Eq.2,we will get,
Study+Don't Study=Fail+Don't Fail
=> Study(1+Dont)= Fail(1+Dont)
=> STUDY=FAIL
so don't study Hence Proved!
NB: No wonder magenius wengi walikuwa hawasomi na wanafaulu..think abt it!
 
Vicheche wote walifeli
 
kusoma KUELEWA, kukesha ni MBWEMBWE TU .........
Ni kweli kusoma sana na kwa muda mrefu sio lazima ufaulu mtihani na wala kusoma kidogo na kwa muda mfupi sio lazima ufeli mtihani . Muhimu ni kuelewa unachokisoma na kuwa na uwezo wa kukumbuka wakati wa mtihani, uwe umesoma sana au umesoma kidogo .
 
Let study=s
fail=f
Then Don't study= ~s
Don't fail= ~f
Katika Logic Maths, alama ya 'plus' i.e '+' inatumika kama OR au kwa maana nyingine Conjuction, kwa hiyo usije ukajumlisha kienyeji kama 2+3=5. Logic Maths ndiyo zimezaa Digital states zinazotamba katika circuit mbalimbali za Electronics ikiwemo na hii tarakilishi (computer) yako. Neno 'Digital' lina prefix ya 'di' ikimaanisha MBILI, yaani kuna state mbili tu katika mifumo ya digitali, TRUE or FALSE, 1 or 0, ON or OFF.
Turudi kwenye milinganyo (equations) zetu. Ingawa umejumlisha kienyeji, hukutakiwa kufungua brackets za factors zako kwani katika logic kitu hicho hakipo.
s + ~s = ~f + f
Note that x + ~x = TRUE, so
TRUE = TRUE
Najua umeweka jokes lakini kwangu umenibrush kwani nimefanya karevision kadogo na huwa nazitumia hizi logic katika kudesign Logic Gates za electronics kwa ajili ya circuits mbalimbali, si lazima tuwe tunarepair vitu vya wazungu wakati wote, muda mwingine tuwe tunadesign circuit zetu wenyewe.
 

Umekosea

1. 'plus' i.e '+' inatumika kama OR - Umekosa
2. s + ~s = ~f + f - Umepata
3. Note that x + ~x = TRUE - Umekosa

Kama ni mtihani umepata moja kati ya matatu = 33%
Masahihisho;
1. plus '+' au '^' hutumika kama AND kwenye Conjuction.
2. kama X = T (True) then ~ X = F (False). '~' hutumika kama Negation au 'NOT'. Kwenye Conjuction True AND False is False T AND F = F,
i.e T + F = F or T ^ F = F kwahiyo,
X + ~X = F False.
 
Wow!!!! Mmenikumbusha bam ya a-level sie wa PCB palikuwa patamu hapo kuzinyambua hizo logics
nasikia siku hizi zimefutwa,shame on them wanaoTunga mitaala!!!
 
Let study=s
nazitumia hizi logic katika kudesign Logic Gates za electronics kwa ajili ya circuits mbalimbali, si lazima tuwe tunarepair vitu vya wazungu wakati wote, muda mwingine tuwe tunadesign circuit zetu wenyewe.

Young broda Sinkala:

Umefanya marketing,sawa!

Sa zinapatikana wapi hizo makitu ili tukuungishe mjasiriamali mzalendo?
 

Naona mmekutana wenyewe kwa wenyewe!
 

Mkuu hiyo imetulia... cna muda wa kusoma repl zote ila jock yako imetulia hususani kwa sisi watu wa Maths
 

Logic is the art of going wrong with confidence
also refer quote ya Einsten
Eisten said:
...education ruined my intelligence...
 

Equation yako imetulia ila translation ya hilo jibu ndio inanitatiza.

Mimi nadhani ni hivi:

If STUDY=FAIL then WHEN YOU STUDY EXPECT TO FAIL or DONT STUDY IF YOU DONT WANT TO FAIL.

Kwani kama ukisema " ADD DONT" both sides of the equation utapata:

DONT + STUDY = DONT + FAIL

kama haujifunzi huwezi shindwa, kujua jambo linavotendeka inatokana na kutokujua kwanza halafu walijua. Na ndio maana halisi ya studying.
 
Kwa Challenge just use any mathematical operation to prove the folloving:

1 1 1 = 6
2 2 2 = 6
3 3 3 = 6
4 4 4 = 6
5 5 5 = 6
6 6 6 = 6
7 7 7 = 6
8 8 8 = 6
9 9 9 = 6

Chemsha bongo!
 
Wow!!!! Mmenikumbusha bam ya a-level sie wa PCB palikuwa patamu hapo kuzinyambua hizo logics
nasikia siku hizi zimefutwa,shame on them wanaoTunga mitaala!!!

..........Kweli kipindi changu mie wala sikuzikuta hizo logic za math kwenye bam, vile vile nafuu hazikuwepo maana mhhhhh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…