Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
aWakuu habari gani?
Kuna heka 2 za eneo la Makazi au ufugaji linauzwa Kigamboni Mbutu karibu na center ya eneo hilo.
Bei yake ni Milioni 10 na mazungumzo yapo.
Alie na uhitaji karibu PM
Iko umbali gani kutoka ferry na shamba lenyewe liko umbali gani na barabara?
a
Nimeku-PM tayari, nipigie tufanye biashara.