Heka 20 zinauzwa bei poa

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
203
Reaction score
100
Kwa wale wenye kuhitaji mashamba yenye ardhi mpyaa(virgin land),
haijawahi kulimwa chochote.
Au wajariamali wanaotaka mapori ya kuanzisha shule za bweni au viwanda.
Basi wawasiliane nami watapata taarifa kamili.
mahali:
Kijiji: KIPANGEGE
Kata: SOGA
KONGOWE/KIBAHA
UMBALI: KM 15, Kutoka KONGOWE//barabara kuu ya morogoro

MAWASILIANO:
No ya mmiliki: 0717 096 380 (MAMA MOHAMED)
 
Dalali bubu huyo keshaingia mitini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…