Hekaheka Uzeeni

Ila mafao yenu wastaafu bado ni madogo sana ndugu yangu, yaani unafanya kazi kwa zaidi ya miaka 29 alafu eti unalipwa milioni 72? Pesa ambayo kuna watu hapa mjini anafanya biashara raundi mbili anaipata. Kwakweli wandugu tutafuteni pesa kupitia biashara
 
Hilo ni kweli ila ukijitambua saving na investing ni kitu muhimu wakati wa utumishi.
 
Uzi mzuri sana ila mzee mwenzangu una heka heka sana wewe .

Haya wacha niendelee kujiandaa maana ni miezi minne tu nitaachia ofisi.
[emoji3][emoji3] Kumbuka sana ndani ya hiyo miezi mi4 umalize shida zako zote. Umeshasikia hela ya kiinua mgongo sio ya kujenga...

[emoji848] Mi sijui bado miaka 11, ngoja nipambane mkuu JBourne59 ule ushauri usio rasmi ni wa maana sana.

Hi big bro.[emoji112]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…