Hekaheka za Xmas na kunusurika kifo

Saa 7 usiku unazurura hovyo ?
Inaonekana unaishi maporini kiasi kwamba hutambui Tz kunawatu wanafanya shughuri za kimaisha masaa 24, sembuse saa 7 usiku ambayo ni mwanzo wa hayo masaa 20 na ma4!
 
Pole sana
 
Inaonekana unaishi maporini kiasi kwamba hutambui Tz kunawatu wanafanya shughuri za kimaisha masaa 24, sembuse saa 7 usiku ambayo ni mwanzo wa hayo masaa 20 na ma4!
Mimi kurudi au kutoka home saa saba usiku wala sina hofu lkn nacheza mitaa ya nyumbani kwa kuwa hakuna ambae hanifahamu na wakati mwingine wananiambia jana umepita "mida mibovu".

Ishi na watu wa mtaani kwako vizuri, hakuna watu wanaweza kutoka mbali wasishirikiane na watu wa karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…