Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Huyu ndiyo yule wa pale Njiro Quarters?Hili hekalu la mbingu duniani linaanza kuwa tishio kwa akina mwamposa.
Huyu profet upepo unavuma kuelekea kwake.
Hivi hawa waumini hasa wanawake ni hao hao wapo na makanisa mengine ama wao wanajitegemea tu. Yaan hakuna intersection ya waamini na madhehebu wanayohudhuria.
Wamuhamishe kule aende nje ya mji. Nimekua napita ile njia wiki ilopita ni shida tupu. Msongamano wa watu na magari.Huyu ndiyo yule wa pale Njiro Quarters?
Matokeo ya Simba mkuu.😃😃Hueleweki
Hili linawezekanaje hapa duniani?
Ni wale wale matapeli wa injili ya kumtolea Mungu. Hana jipya lolote. Sikiliza radio yake. Sijui lini mamlaka za nchi zitafuta huu upuuzi. They are merely motivational speakers using the name of God to rob people.Hili hekalu la mbingu duniani linaanza kuwa tishio kwa akina mwamposa.
Huyu profet upepo unavuma kuelekea kwake.
Hivi hawa waumini hasa wanawake ni hao hao wapo na makanisa mengine ama wao wanajitegemea tu. Yaan hakuna intersection ya waamini na madhehebu wanayohudhuria.