watafiti wanajaribu kuelezea kwa ushahidi kuw sehemu inayogombaniwa kuliko sehemu zote duniani temple mount ilipo western wall mahali patakatifu pa kuabudia wayahudi sasahivi na vlevile kuna alqsa mosque na dome of the rock sio palipo jengwa hekalu takatifu la kwanza na la pili la wayahudi
wanasema hekalu takatifu la kwanza na la pili lilijengwa pembezoni kidogo mwa temple mount
fuatilia hiyo documentary