Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM

Nimefurahi kuona kwenye hitimisho umewaweka wazi hawa nyumbu kuwa mama Samia ataupiga mwingi tena 2025. Nina Imani hawa nyumbu wataeoewa somo.
 
Andiko safi sana. Thank you for Theory of reflexivity
 
Yale ni matapeli tupu
 
Mwaka 2020 ndo nilihitimisha uwezo wa magufuli ni mdogo sana
Baada ya magufuli kuharibu uchaguzi maksudi akaja fahamishwa baadhi ya kamati zinatakiwa kuwa na wapinzani imagine magufuli amekuwa mbunge kwa miaka 20 inamaana hili alikua halijui yule baba kwa hili nilimdharau sana

Baada ya kuona kafeli autumia tena ubabe kuwapeleka wabunge 19 bungeni
Kwa hii scenario inakupa picha viongozi wetu hauwezi kufikiria hata baada ya miezi 6 mbele ni hatari sana
 
Wale ni wafanyabiashara kwenye siasa
Unaenda kugombea unamtingisha mgombea wa ccm anajaa anakupandia dau unamuachia jimbo
 
Ni kweli hakuna chama kitaweza kuitoa ccm madarakani, ila ni iwapo vyama vingine vitaendelea kukubali kufuata mfumo huu wa uchaguzi unaoifaidisha ccm. Machafuko pekee yatawaweka nje ya utawala na hatua kali zitawakuta wote wanaofanya unyama ma wizi sasa. Taarifa zote tumezitunza.
 
Bi MamaSamia2025 kila hoja ina majibu

HOJA #1: MUDA NA UHAI WA BUNGE

Bunge linaweza kuitishwa hata kama lilishavunjwa only if kama kuna jambo la dharura la kushughulikiwa...

Tena linaweza kufanya kazi hata kama ni siku ya sikukuu, week end...

Hayati Mwl Julius K. Nyerere aliitisha Bunge lililokuwa likizo mwaka 1964 na wote wakafika DSM tena siku ya J'mosi wakapewa mswaada wa sheria wa kuinganisha Tanganyika na Zanzibar...

Wakaujadili mchana kutwa na usiku kucha siku ya J'mosi kuamkia J'pili na sheria hiyo waliyoipitisha ndiyo ikazaa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kutangazwa rasmi 26 April 1964...

Kwa hiyo kabla ya kuandika kitu, jitahidi kufikiri na kufanya utafiti kwanza.

HOJA #2 TUNA UHAKIKA GANI WA KUPATA REFORMS KWANI WABUNGE WOTE NI CCM?

Na hili kuwa tuna uhakika gani kama tutapata reforms tuzitakazo iwapo Bunge lote la JMT lina wabunge wa CCM tupu (sio 90% tu bali ni 100% kabisa)

JIBU: May be you're damn right about this.

However, hoja kubwa ni kwamba, kama umepewa uhuru ili utumie kujiokoa wewe na nafsi yako bila kusimamiwa na yeyote na ukashindwa kuutumia kwa kuji - manoeuvre mwenyewe, basi, maana yake, get ready to face the consequences of your own stupid actions...

Na ndugu yangu MamaSamia2025, hawa CCM si kwamba itakuwa mara ya kwanza kuwa wenyewe watupu, wakiwa na opportunity ya kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya mustakabali wa taifa na nchi hii, lakini wakajidanganya wenyewe na mwisho wa siku wakafanya maamuzi ya hovyo...

Mfano: Mwaka 2013 CCM walishindwa kutumia fursa ya wao kuwa pekee yao kwenye Bunge la uandishi wa katiba mpya kwa kuipa nchi Katiba mpya nzuri iliyojengwa ktk msingi wa maoni ya wananchi kote nchini yaliyokusanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba...

Kwa hiyo hata wakiwa peke yao, ni juu yao kufanya kilicho sahihi au wafanye ujinga tena. Wakivuruga, kelele za kuendelea kudai usawa na haki hazitatulia na pengine zikawa kubwa na za kuwakera zaidi...
 
Soros kashindwa marekani,,,,,ulaya anaenda kupoteza,,, kwa Africa ndo kabisa atapotea maana washika minyororo waliotakiwa wakae ili kuikamua Africa wakina kamala nao walishaanguka na jamaa haziivi na wakina Trump na kundi lake
I will beg to differ, si kwamba waliotakiwa kuonyonya africa wameanguka no, bali waliopo wamechange policy, focus ipo kwingine kabisa.
Kama lengo ingekuwa africa, hata huu uongoz wa sasa wangeachana na wanaopambana nao na entire focus ingekuwa africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…