Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM

Unaota
 
I will beg to differ, si kwamba waliotakiwa kuonyonya africa wameanguka no, bali waliopo wamechange policy, focus ipo kwingine kabisa.
Kama lengo ingekuwa africa, hata huu uongoz wa sasa wangeachana na wanaopambana nao na entire focus ingekuwa africa
Wamechange policy baada ya kuona ushindani umekua mkubwa na pia yakupambania yameongezeka huko kwao
 
Ingawa sijasoma makala yako (lakini nachangia kwenye ulichosema anguko la kitu fulani); Nataka nikukumbushe tu politically kwa sasa duniani sio ni lidude gani lipo pale bali mifumo iliyopo inalipa lidude hilo mandate kiasi gani...

Case in point tumeona Kenya kuanguka kwa KANU, ili kilichotokea na kinachoendelea kutokea ni mvinyo uleule kuendelea kuhamia chupa baada ya chupa....; bila manufaa yoyote kwa common mwanachi, ifike wakati watu kushurutisha uwajibikaji no matter ni lidude gani lipo pale juu...; As for kuanguka nothing lasts forever ila historia inatwambia walaghai huwa wana adapt au kujifanya ni wengine wakati ni walewale
 
Mkuu,
Umenifanya nirudi JF ya miaka ilee.
Umeiandika na kujibu vema.
George Soros kupitia pia Blackrock, wanafanya mengi ikiwepo kuweka Viongozi wengi wa West madarakani. Ndiyo maana kinachofanyika West Europe hadi unashindwa kuamini kama hawa Wazungu wana akili sawasawa.
Wanafanya Victor Orban wa Hungary, Robert Fico wa Slovakia etc waonekane wana akili sana wakati Viongozi wa German wakiongozwa na Kibibi Ursula von der Leyen wakitia kinyaa Uchawa wao kwa USA. Ufaransa na UK pia ni mle mle na wengine wengi.

Kuna hii film chini, wengine hudai ni kuhusu George Soros kwani UTAJIRI wake ulianzia Hungary kipindi alishirikiana na German Nazi kuiba mali za Wayahudi huku akiwa na miaka 14 na yeye pia akiwa Myahudi.....
 
Tuko pamoja mkuu
 
Umeeleza ukweli halisi kabisa! Ila machawa wajinga na wapumbavu watakuponda sana! Una uelewa mkubwa sana wa mambo ya Dunia kwa undani sana! Machawa watakukejeli ila mwisho wataficha nyuso zao kwa aibu kubwa sana. May God bless u!
 
Umeeleza ukweli halisi kabisa! Ila machawa wajinga na wapumbavu watakuponda sana! Una uelewa mkubwa sana wa mambo ya Dunia kwa undani sana! Machawa watakukejeli ila mwisho wataficha nyuso zao kwa aibu kubwa sana. May God bless u!
Naam pamoja mkuu
 
Hoja dhidi ya Ccm zinajibiwa na Lucas mwakashamba sijui na Mwijaku , hivi vitu vinaivunjia heshima Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…