Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Tofauti na viongozi wengine wa kisiasa nchini ambao hawakubaliki kwa wananchi kwa kukosa hoja na ushawishi wa mipango na sera za kimaendeleo ispokua vyeo tu,
Dr.Samia Suluhu Hassan anatumia hekima na busara kuongoza nchi, kuongoza chama tawala na serikali sikivu ya ccm, huku dhamira na nia zake njema za maendeleo kwa waTanazania wote zikiwa wazi na bayana kwa wananchi wote na maslahi mapana ya taifa.
Mathalani, kwa kutumia falsafa yake ya 4rs, Dr. Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu, lakini pia amefanikiwa kwa ufanisi wa kiwango cha juu sana kuchoche mabadiliko ya kisiasa na kuimarisha demokrasia nchini, huku uchimi ukipaa kwa wastani tajika kila mwaka na huduma za kijamii kama vile maji, umeme, afya, elimu, maji, ulinzi na usalama vikiimarika sana siku hadi siku.
Yote haya yamefikiwa kwa ufanisi mkubwa kutokana na hekima na busara ya kiwango cha juu sana anayotumia kiongozi huyu madhubuti na kipenzi cha waTanzania wote.
Ni wazi dhamira na nia njema za wazi za Dr. Samia Suluhu Hassan dhidi ya maendeleo kwaajili ya waTanzania wote, imefanya badhii ya wanasia waliopoteza uelekeo kujikuta wamekua matapeli wa pesa za wananchi kidigitali na vibaka wa siasa, kwasababu DR.Samia Suluhu Hassan amefanya mambo yote makubwa yanayohusu mahitaji muhimu ya wananchi na kuwakoseha hoja wanasiasa hao uchwara ambao wamebaki na ujasiri wa kubeza na kudhihaki viongozi tu, lakini kiujumla, wanasiasa hao wako kwenye mkwamo wa kiwango kikubwa sana ndani ya vyama vyao wasijue la kufanya kuelekea uchaguzi mkuu wa october2025.
Kuelekea uchaguzi huo, tayari ni wazi kabisa wananchi wengi wameshaamua kwamba watamchagua kiongozi wao kipenzi, mwenye hekima, busara, dhamira na nia njema ya kuliunganisha taifa kwa maendeleo ambae ni Dr.Samia Suluhu Hassan.
Wanasiasa wasioaminika, matapeli wa pesa za wananchi maskini kidigitali na vibaka wa kisiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja na ushawishi kwa wananchi, hawana nafasi kabisa katika masuala ya uongozi wa Taifa letu moja, Tanzania.
Mungu Ibariki Tanazania