Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Hapa inategemea unakula nini sio kula kama unagombea medali ya olimpicNever skip dinner. Hapo nimepaelewa sana au nyie wenzangu mnasemaje ? Chakula cha usiku lazima kiliwe tu hakuna kuruka
Na kike kingine vipi ? Kileee cha baba na mama tuHapa inategemea unakula nini sio kula kama unagombea medali ya olimpic