hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
(Summary). Habari wana jamvi leo nazidondosha kwenu nukuu kadhaa za mzee wetu mandela ambazo nimezifanyia uchambuzi kidogo dhidi ya mustakabali wa taifa letu katika upungufu wa democracy
Karibuni jamvini "
(A) KUHUSU HUKUMU
(1) Do not judge me by my successes " judge me by how many times I fell down and got back again ..
Msinihukumu kwa mafanikio Yangu " nihukumuni kwa mara ngapi nilianguka na kuinuka tena ..
Hii nukuu inaweza kuja kutumiwa na viongozi wa bunge kama Lisu .lema .sugu .etc ambao walifanyiwa vitendo vya kuporwa haki yao " kisha wakapigana ili waweze kuipata " na hatimae wameweza kusimama tena
(2) I'm not a saint " unless you think of a saint has a sinner who keeps on trying
Mimi sio mtakatifu .. labda ukimfikiria mtakatifu kuwa mwenye dhambi asiyeacha kujitahidi.
Hapa alikuwa anajua wazi kuwa katika jamii ya watu wa africa kuna viongozi
Wanaotamani kuonekana malaika 'mbaya zaidi wanajiita wasema kweli vipenzi wa Mungu wakati mikono yao inanuka damu
(B) KUHUSU CHUKI
(3) Hating clouds the mind ..it gets in the way of strategy..leaders cannot afford to hate.
Chuki hufunga akili inazuia ubunifu wote wa mbinu .. viongozi hawana nafasi ya kuchukia
Nadhani hili ni dongo la wazi kabisa kwa viongozi wote wa chama tawala ..reference ndogo tu ikiwa ni hiki alichokifanya Ndugai dhidi ya CAG ilhali anatambua kwamba ni kinyume na sheria
(4) No one is born hating
Hakuna aliyezaliwa kuchukia
Sijui huyu mkuu wa kaya ..alipatwa na maswahibu yapi utotoni mpaka akawa na roho mbaya " kama mtoa roho ..maana mzee madiba anatuhakikishia kwamba hakuna anayezaliwa na chuki. So kama ukweli ndio huu " huyu mkuu wa kaya chuki kaivuna wapi !? Maana watanzania hatuko hivi, udhahiri wa chuki zake dhidi ya upinzani uko wazi wazi tu hauitaji. kuumulika na torch ili uweze kubaini hilo. Kupigwa risasi kwa lisu " kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kifo cha Akwilina etc ni moja ya matukio ambayo yana onyesha kuwa huyu mtu ana roho ya namna gani ..
(5) If they can learn to hate . They can be taught to love .for love comes more naturally to the human heart than its opposite"
Kama wanaweza kujifunza kuchukia basi wanaweza kufundishwa kupenda .kwa sababu kwa kawaida ni asili yake upendo kuja kwa moyo wa mwanadamu kuliko kinyume chake ..
Hapa sote kwa pamoja tunaweza kukumbuka ule waraka wa maaskofu wa kanisa katoliki dhidi ya serikali ya JMT iliyopo madarakani walikuwa wana wakumbusha na kuwafundisha misingi ya upendo na utu " lakini ndio hivyo kama mnavyojua kusikia kwa kenge.
(C) KUHUSU MSAMAHA
(6)courageous people do not fear forgiving for the sake of peace"
Watu wenye ujasiri hawaogopi kusamehe kwaajili ya Amani.
Ni kama ambavyo CDM na lowasa walivyo amua kusamehe baada ya kung'amua kuwa wamedhulumiwa kura zao " ili tu taifa libaki kwenye amani
(7) you will achieve more in this world through acts of mercy " than through acts of retribution..
Utafanikiwa vingi katika dunia hii kupitia matendo ya rehema ..kuliko kwa matendo ya kuadhibu watu .."
(Hapa naomba mum-tag jiwe )
(D) KUHUSU MICHEZO
(8)sport can awaken hope . Where there was previously only despair..
Michezo inaweza kuamsha matumaini .pale ambapo awali palitawaliwa na kukata tamaa ..
Tunaweza kuona jinsi ambavyo mo alivyo rudi kwa wana msimbazi na kufanya investment ya kutosha ambayo ili kuja kuleta ari ya kujituma kwa dhati kwa wana msimbazi ..mpaka wakafikia hatua ya kutwaa kombe la ligi kuu msimu uliopita
Pia tunaweza kuona jinsi ambavyo Felix simbu alivyo weza kufanya vizuri kwenye mchezo wa riadha na kusababisha kurejesha matumaini yaliyo kuwa yamesha toweka kwa watanzania kuhusu wanariadha kufanya vizuri kwenye mchezo huo
(E) KUHUSU UONGOZI
(9) Lead from the back- and let others believe they are in front
Ongoza kutokea nyuma " na wafanye wengine waamini wao ndio wako mbele
(Hii nimeipenda sana " imenigusa mno kama jiwe angekuwa na maono haya sidhani kama angekosa ' kuungwa mkono na wa tz wote hata pale ambapo inapo tokea akateleza na kucheza blunder")
(F) KUHUSU KUWA NA MALENGO
(10) It always seems impossible ' until it's done
Mara zote huonekana haliwezekani mpaka lifanikiwe.
Ukitazama kwa kina tangu hili taifa lipate uhuru limepitia mapito ya kutawaliwa na chama kimoja tu ambacho ni ccm. Huwa inaonekana kama ndoto za ali nacha kwa vyama pinzani kuja kuing'oa CCM madarakani na kuchukua utawala, lakini tukiwa kama wapenda haki tusisahau hayo maneno ya huyu mzee wetu nguli wa democracy duniani toka Afrika Kusini
(11) Mtu mwenye akili siye anayejisikia kuogopa .. bali yule aushindae woga
(Hapa unaweza kumuweka CAG na kile kinacho msibu hivi sasa." Hayati azory gwanda .Ben saa 8. Lissu .zito kabwe Mbowe. Ester matiku na viongozi wengine wote wa upinzani wanao ipigania democracy pasipo kuwa na hofu ya hatima zao ..
(G) KUHUSU KUFUNGWA
(12) It is said that no one trully - knows a nation untill one has been inside its jail
Inasemekana kuwa " hakuna anayelijua Taifa hadi awe amewahi kuwa ndani ya jela
Sote tumeweza kusikia/kuona kwamba Mandela alifungwa" Mugabe alifungwa .Nyerere amewahi kukaa look-up. Hivyo basi hii hatua ambayo wanapitia viongozi wa kisiasa wa hapa nchini " toka vyama pinzani ..ni sehemu tu ya darasa la kuwapatia ukakamavu utakao weza kuwajenga na kuwafanya waweze kuwa na moyo wa kuwapatia ushindi .. kwa sababu kukaa kwao jela /mahabusu kutawafanya wahusike moja kwa moja na nukuu ya mzee madiba. .. itawafanya wa zidi kupata ari ..yakulikomboa hili taifa toka kwa mikono ya huyu mkoloni mweusi CCM.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app