Heko Gazeti La Dira ya Mtanzania kwa kuvichua maovu

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Gazeti la Dira likuwa likifichua maovu katika sekta ya elimu.tuwaunge mkono ili tuutokomeze ufisadi katika Vyuo vya elimu ya juu na sekta nyingine ya elimu.Heko Gazeti la Dira kwa jitihada zenu.
 
mkuu,

hebu tuwekee mojawapo ya makala hizo ili tukubaliane nawe!!!
 
Gazeti la Dira likuwa likifichua maovu katika sekta ya elimu.tuwaunge mkono ili tuutokomeze ufisadi katika Vyuo vya elimu ya juu na sekta nyingine ya elimu.Heko Gazeti la Dira kwa jitihada zenu.

Wewe ndiye Mhariri wa hilo Gazeti nini? Lipia tangazo kwa wenye jamvi
 
Back
Top Bottom