Nimefurahishwa sana na bodaboda wa Kituo Kipya Gomz DSM, Nmependa sana utaratibu wa kusimamisha watu kutopita njia ya SGR pale zipitapo treni mimi nmepita leo mida ya saa1 jioni hivi nkajiuliza kuna nini hapa kusubiri kidogo naona treni ya SGR hii hapa Hongereni sana kujali uhai hasa kwa watoto wadogo nmeipenda bure 🙏✨🕊️