JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 82
Katika kipindi cha radio one cha kumepambazuka leo kaojiwa dk benson bana kuhusiana na madai ya kuongezewa posho kwa wajumbe wa bunge la katiba.kwa maoni yake ni kwamba mjumbe anayeona posho n ndogo basi aandike barua kuwa akubaliani na posho ya laki tatu na aachie ngazi wanaoweza pokea laki tatu wakaendelee kututengenezea katiba.kwa kweli naunga mkono hoja hii..wajumbe na wabunge bunge la katiba sio sehemu ya kutafutia mtaji wa biashara.kuweni wazalendo mtutengenezee katiba