JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 82
Katika kipindi cha radio one cha kumepambazuka leo kaojiwa dk benson bana kuhusiana na madai ya kuongezewa posho kwa wajumbe wa bunge la katiba.kwa maoni yake ni kwamba mjumbe anayeona posho n ndogo basi aandike barua kuwa akubaliani na posho ya laki tatu na aachie ngazi wanaoweza pokea laki tatu wakaendelee kututengenezea katiba.kwa kweli naunga mkono hoja hii..wajumbe na wabunge bunge la katiba sio sehemu ya kutafutia mtaji wa biashara.kuweni wazalendo mtutengenezee katiba
Njaa inakusumbuwa wewe bwegge, Zanzibar ni nchi na wana uhuru wa kupanga mambo yao.Usikurupuke wote turn watanzania hakuna usawa wa engine wale 420 na engine 300 wao wanabubora gani na wa kwetu wanapungua mini. Wote washuke kwa laki 3 au wote waende 420.
Usikurupuke wote turn watanzania hakuna usawa wa engine wale 420 na engine 300 wao wanabubora gani na wa kwetu wanapungua mini. Wote washuke kwa laki 3 au wote waende 420.
Njaa inakusumbuwa wewe bwegge, Zanzibar ni nchi na wana uhuru wa kupanga mambo yao.