Heko sana Mtangazaji maarufu

Heko sana Mtangazaji maarufu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wa Michezo Hapa Nchini Tanzania Maulid Baraka Kitenge Kwa Kuwa Mbunifu Na Kuwa Na Vipaji Vingi. Kwa Sisi Wapenzi Wa Kipindi Cha Michezo Cha E FM 93.7 Habari Ya Mjini Cha Sports Headquarters Kwa Muda Sasa Tumekuwa Tukijiuliza Ni Nani Anayeigiza Sauti Ile Ya Kihindi Ya PANJUANI Kwani Anaipatia Vizuri Na Ipasavyo Na Leo Kupitia UTUNDU Wangu Wa UFUKUNYUZI ULIOTUKUKA Na Ambao Huwa SIKOSEI Na Hata NIKIKOSEA BASI JUA NIMEKARIBIA UKWELI.

Jamani Wadau Wenzangu Wa Michezo Huyo PANJUANI Na Anayeigiza Hivyo Ni Maulid Baraka Kitenge Mwenyewe. Hakika Jamaa Ana Kipaji Kwani Segment Hiyo Ya PANJUANI Inapendwa Na Wengi Na Inabeba UTAMU Wa Hicho Kipindi Chao Kizuri Na Kinachoburudisha. Big Up Sana Kite Japo Mimi Na Wewe Tunapishana Sehemu Moja Tu Wewe Ukiwa Gongo Wazi Na Mimi Nikiwa Ni Mnyama.

Wito Wa Watangazaji Wengine Hebu Nanyi Onyesheni Basi UBUNIFU Wenu Ili Muweze Kutuvutia Ktk Vipindi Vyenu Mbalimbali!
 
hiyo segmnet huwa inaniboa sana......nimeachaga kusikiliza hiki kipindi sababu hiyo....ni kama segment ya yule sijui nini '....cop' au 'you heard' wa clouds fm....
 
hiyo segmnet huwa inaniboa sana......nimeachaga kusikiliza hiki kipindi sababu hiyo....ni kama segment ya yule sijui nini '....cop' au 'you heard' wa clouds fm....

duh kumbe badala ya kuwavutia, wengine anawaboa
 
Back
Top Bottom