uliona ile video hivi iliishaje ile issue yule dada aliaibika sana
Kwa nini usiweze? Hiyo marufuku imeandikwa wapi?
Attitudes kama zako ndo huwapa hamasa hao wahuni kufanya uhalifu wao.
I Dont care about my atitude bt umakin wa mtu unaanza kwa mtu mwenyewe... we kama unabisha vaa ovyo wakuvue ndo utajifunza
Kuvaa hovyo ndo kukoje? Nani anaamua hili vazi ni hovyo na hili si hovyo?
Umakini au utovu wa umakini katika mavazi ya mtu ni mambo yake mwenyewe. Wewe na mimi hayatuhusu.
Hakuna mwenye haki wala mamlaka ya kujiamulia kuwa mavazi aliyovaa mtu mwingine barabarani yanakiuka maadili hivyo anastahili kuchaniwa chaniwa alichovaa.
Kama hujui kuvaa ovyo vaa wakishakuvua, wakupige madole wale wahun utajua wat i Mean.... vaa kutokana na mazingra husika
hiyo sheria ije tanzania haswa vijana wa kariakoo wanahitaji kuwajibishwa kwa upuuzi wao wa kudhalilisha wanawake
nadhani nyerere aliwahi sana kutupatia uhuru.....angeacha kidogo wakoloni watushape ubongo kama nchi nyingine ilivyokuwa.......haswa katika maswala ya utawala na usimamizi wa hazina ya nchi katika kuleta maendeleo........
Mtu anayefikiria kwa upeo mkubwa na kufanyia kazi mambo ya maana hatakaa akawaza mwana fulani kavaa nguo fulani na kwa sababu fulani, there's no sound mind that can do that. Wanaofanya hivo ni opposite.
My dress my choice......... I like that kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakavyo
Mtembee makalio wazi, mtujambie, mtulishe papuchi zenye mchanga, nyonyo njenje, hahahhahahah SISI WAUME ZENU TUNASEMA MTAVAA TUNAVYOTAKA SISI, full stop
nione nini ninauhuru wa kuvaa ninavyojisikia hakuna mtu wa kunipangia mavazi
Mwenye akili ni wewe ambaye kutwa kuionesha papuchi nje kama matangazo ya .....!
Chupi siyo uchi!
Kuvaa mini skirt si sawa na mtu kutembea uchi.
Acheni kutia chumvi.
Na wewe usiuonyeshe yako kwani inakuuma nini akiionyesha yake? Instead ya kuweka kejeli kila mtu aaanze na dada, mama, binti zake huko nyumbani akivaa nguo mbaya mrudishe ndani inabidi tuanze kuinstill discipline toka watt wakiwa wachanga otherwise na nom ya single mothers inavyyoongezeka tutazidi kuona madudu ya ajabu