Heko Wakenya

Kwani hujui biashara matangazo?

Kama anauza hapo sawa, wakware wa kununua wapo...

Mi mtu akivuliwa kwenye kumbi za starehe nitasimama kuhesabiwa lakini sio shopping unavaa kichupi lazima nikupe dolegumba aisee
 
niliangalia ile clip, nikajaribu Ku imagine yule Dada aliyefanyiwa kile kitendo ungekuwa ni dadangu,mwanangu, mamangu ,Rafiki hata jirani, kwa kweli kile kitendo sio cha kiungwana hata kidogo.
binadaam yoyote mwenyewe akili timamu, tena sober minded hawezi kushiriki kitendo cha kinyama Kama kile.
naungana na mwanzisha Uzi pamoja na wale wote wenye akili timamu kukemea kile kitendo cha kinyama kwa Dada zetu.
 
Hatuhitaji kuziona papuchi zenu zinatutia kinyaa, unalishwa papuchi imejaa mchanga hadi tunaumia dushe zetu

Unakula matapish yako mwenyewe....jerk puh leez!
 
*Update*

Kwa mujibu wa Citizen TV, baadhi ya wale wahuni (wa Nairobi) waliohusika kumchania yule dada nguo zake leo wamepandishwa kizimbani.

Baadaye, nikiweza nitaweka video ya wao kupandishwa kizimbani.

Kenya inazidi kunikosha!!
 
 
Last edited by a moderator:

Kwa akili yako hukuimagine kama Dada, Mama yako anavaa kichupu bali unashangaa aliyevaa kichupi kuvuliwa...teh teh teh
 
a worshipper of Kenya....wapumbavu hamkosekani katika kila jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…