Bazobonankira
Senior Member
- Jan 18, 2007
- 120
- 61
Hivi karibuni nilishuhudia Zain wakiwa wanapanda miti (nadhani hizi ni Washington palms kuanzia pale lilipo jengo lao jipya makutano ya Morroco kuelekea Namanga.
Hakika hizi ni jitihada za kupongezwa kabisa! Hakika miti ile ikikua itakuwa imefanya barabara hiyo kuwa na mandhari ya kuvutia mno.
Huu ni mfano wa kuigwa na wawekezaji pamoja na wazawa kwa maeneo yote aidha tunayoishi au kufanyia biashara karibu.