Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Habari jamani? Yaani hii hela kila hatua ni taabu tu
Hela kuitafuta mpake uipate nitabu, utahangaika wee utaipata kwa tabu.
Hela ukimkpoesha mtu kukulipa ni tabu, utadai weee utakuja kulipwa kwa tabu.
Hela ukiwa na shida ukimuomba mtu atakupa kwa taabu, utambembeleza wee atakupa baada ya siku kadhaa kwa tabu
Yaani pesa haina tabu kwenye kutumia tu ila kila hatua ni tabu tu