ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huwa nashangaa mtu anapata pesa anabaki na mawazo mengi kichwani yaani in short anaitesa pesa yake anaipa changamoto pesa yake kazi yake inakuwa ni kutatua tu matatizo mara ya wagonjwa mara ya madeni.
Sikatai kutumia pesa kwenye shida ila usijisahau babu kula kidogo sheikh kula kuku au safari lager kidogo kijana. Kesha piga kazi Kesha kula maisha.
Sikatai kutumia pesa kwenye shida ila usijisahau babu kula kidogo sheikh kula kuku au safari lager kidogo kijana. Kesha piga kazi Kesha kula maisha.