ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Pokea mshahara usitenge hata 30000 Cha peke Yako kunywa supu kula kuku....halafu watakula.kwenye msiba wako maisha nn I hayahaya woiPonda mali kifo chaja...
This marks the end of your thread
Usitumike hovyo... Ponda Mali kijana....Pokea mshahara usitenge hata 30000 Cha peke Yako kunywa supu kula kuku....halafu watakula.kwenye msiba wako maisha nn I hayahaya woi
Hahaaaa.....Mimi Kila mwenzi Nina utaratibu wa kujizawadia kwenye mapato yangu pesa hiyo ipo....nijibane nisile kuku wa kujipongeza Ati nasubiri uzeeni vp dhahma za uzee usile hichi usile kile hahaàaaa kuku ninakula angali ni kijana.....sinywi pombe Wala kilevi chochote....Usitumike hovyo... Ponda Mali kijana....
Sio mshahara wote unakabidhi wife eti apange bajeti
Kabisaaa kaka..... Maisha yenyewe mafupi hayaaaaaHahaaaa.....Mimi Kila mwenzi Nina utaratibu wa kujizawadia kwenye mapato yangu pesa hiyo ipo....nijibane nisile kuku wa kujipongeza Ati nasubiri uzeeni vp dhahma za uzee usile hichi usile kile hahaàaaa kuku ninakula angali ni kijana.....sinywi pombe Wala kilevi chochote....
Sio kila tatizo linahitaji pesa uweze kutatua kwahyo sio kila tatizo linakumalizia pesa zako Na pia Pesa haiwezi kumaliza kutatua matizo yote na ndio maana kuna watu wanapesa bado kuna matatizo wanashindwa kutatua ningekupa mfano wa mzee maliga yupo iringa anatibu watu waliopata ajali ya miguu na mikono kuvunjika kwa kutumia dawa za asaliHivi pesa ndo ina maliza matatizo au matatizo ndo yana maliza pesa?