Hela ya bodi heslb utailipa tumia vizuri

hiyo ela ya stationaries unalipaje,je ni kwa semister au kila utakapoitaj huduma ya stationaries?
 
Akijipanga ananunua,mbona people kibao zinanunua,it all takes focus and budget!

hiv mkuu lap top ambayo haitamsumbua mtu inatakiwa kuwa na RAM na PROCCESSOR za ukubwa gan?na gharama zinaanzia sh ngap?je unaweza kupewa na kulipa nusunusu?je hamna top za promo kwa wanafunz?
 
hiv mkuu lap top ambayo haitamsumbua mtu inatakiwa kuwa na RAM na PROCCESSOR za ukubwa gan?na gharama zinaanzia sh ngap?je unaweza kupewa na kulipa nusunusu?je hamna top za promo kwa wanafunz?

Sina uzoefu kivile ndugu yangu,ila usihofu wanaojua watakujuza hapahapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…