Hiyo ianze kwanzia ngazi ya uraisi , kipindi cha magufuli mbona watu walipa kazi?Kwa minajili hiyo bhasi walinzi na wanajeshi wangelipwa zaidi maana wanafanya kazi almost 24/7. Kipindi ambacho wengi wamelala..
Sisemi pia watu wa kada ya afya wasilipwe vizuri ila ningetamani system iwe competence based , vipaksa wapatikane na walipwe kwa thamani yao, na si kutegemea profession tu maana kama ulijua ni kazi gani unaisomea, na umeipata. Sioni kama kuna cha kuanza kulaumu unless contribution yako na compesation haviendani.
Tuko wengi usijali mkuu..🥹Naomba kwa heshima nikukosoe, sema watu tunasota mmojawapo mimi napata laki mbili kwa mwezi
Huo muundo mpya bado haujaanza kutumika hata kwa waliopo kazini sasa na ndio wanalalamika hasa Baraza la wauguzi na wakungaSisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu internship nilipwe 600,000/= kiwango hiki cha malipo kinatokana na nini?
Ikiwa wenzetu wanao soma Bsc in Pharmacy miaka 4 wanapoenda internsship walipwe tofauti na sisi,,, na muundo mpya upo tangu 2023 kwanini hautumiki kwa sisi kada mpya za afya ??
Hayo mapendekezo nani aliyatoa???Sisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu internship nilipwe 600,000/= kiwango hiki cha malipo kinatokana na nini?
Ikiwa wenzetu wanao soma Bsc in Pharmacy miaka 4 wanapoenda internsship walipwe tofauti na sisi,,, na muundo mpya upo tangu 2023 kwanini hautumiki kwa sisi kada mpya za afya ??