Hela ya kujikimu kwa Ajira mpya

Zamani tulikua tunapawa mfuko wa unga, chumvi, tunapewa vyungu kwaajili ya mupikia kisha tunaambiwa kuni tutazikuta hukohuko.
Vijana skuizi mmekua nyoro nyoro alafu mnadeka sana qudadadeqi...😎
 
Kuna Baadhi Ya Taasisi Wanapewa Mapema tu na Taasisi Zingine Bado Sana wanasubiri michakato ikae sawa
Hopefully watazitoa kwa baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…