Msaada kwa anae jua bum linatoka lini kwa waliofanya transfer """allocation ilishatoka tangia mwaka jana mwezi wa 11 kabla first year hawajapata bum la kwanza ila mpaka saiv wamepata la pili huku transfer hata la kwanza bado"
kwa kawaida ufanyapo transfer ya chuo ujue bum huchelewa kwa miez mi3 ya awali na huwa wanakuambia kabisa otherwise wale wenye shortcut zao maana cku hiz penye uzia penyeza rupia mkuu