Hela za kubeti zina nini? Kwanini ukizipata haufanyi kitu cha maana?

5 Nyingi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
246
Reaction score
605
Nimeanza kubeti muda mrefu bila mafanikio, mara chache sana nimewahi kula elfu 10 mpaka elfu 50. Siku chache zilizopita kwa mara yakwanza nikala m 7 kasoro, sasa picha linaanza leo nina kama laki 4 tu.

Nyingine yote sijui nimeitumia vipi. Cha maana nilichofanya ni kununua kiwanja cha 1.2 M, nilitenga laki 5 ya kubeti mikeka yote imechanika, nyingine nimehonga daah!
 
Umesahau kuwa pesa yote umefanyia matumizi ama wewe haulioni hilo?!

Nadhani pesa yoyote unayoweza kuipata bila jasho mara nyingi matumizi yake yanakuwa ni mabaya tu.
 
Money Is earned. Kuna tofauti kati ya cash na money. Cash is part of money. Wewe ulipata cash. Sawa na kwenda kwenye ATM kuchukua hela ya kutumia. Baada ya muda zitaisha kwa sababu ni taslimu kwa ajili ya kutumia.

Back
Top Bottom