na haina kitafuno kabisaHii chai
Nimeanza kubeti muda mrefu bila mafanikio, mara chache sana nimewahi kula elfu 10 mpaka elfu 50. Siku chache zilizopita kwa mara yakwanza nikala m 7 kasoro, sasa picha linaanza leo nina kama laki 4 tu.
Nyingine yote sijui nimeitumia vipi. Cha maana nilichofanya ni kununua kiwanja cha 1.2 M, nilitenga laki 5 ya kubeti mikeka yote imechanika, nyingine nimehonga daah!