Ajira Mpya katika Halmashauri ya Buchosa mpaka sasa hatujapewa malipo yoyote ya pesa za kujikimu licha ya kufanya jitihada za ufuatiliaji.
Hakuna kinachoendelea, mara kwa mara tumejaribu kwenda kufuatilia kwa njia mbalimbali hakuna majibu positive.
Tunaomba mamlaka zinazohusika zitusaidie tupate haki yetu mazingira ya kazi magumu sana kwetu.