Hela za PT Kwa vyuo vikuu

Hela za PT Kwa vyuo vikuu

x.jamex1

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
76
Reaction score
27
Samahani wandugu hvi kuna yyote mwenye update juu ya hzi pesa za pt a.k.a practcal trainings coz cielew hii serikali inampngo gani mwezi sasa wapita twaganga njaa tu maofcn mwa watu..hvi kweli unaeza jfunza vyema kweli kwa style hii
 
Hizo pesa zimeenda bungeni muwe wapole tu baada ya wiki mbili bodi watarelease
 
Samahani wandugu hvi kuna yyote mwenye update juu ya hzi pesa za pt a.k.a practcal trainings coz cielew hii serikali inampngo gani mwezi sasa wapita twaganga njaa tu maofcn mwa watu..hvi kweli unaeza jfunza vyema kweli kwa style hii[/QUOTE

izo hela ARDHI UNIVERSITY 2lipewa since week ya u.e na zimeshaisha kitambo..kama hujazipata hadi leo jiulize icho unachosoma ni chuo kikuu au ""chuo kikubwa"(najua ur from udsm wewe...teh teh teh!!!)

""if your in relationship and all u do is crying everyday.,u better ask your self whether ur dating a lover or an onion.....""
 
Samahani wandugu hvi kuna yyote mwenye update juu ya hzi pesa za pt a.k.a practcal trainings coz cielew hii serikali inampngo gani mwezi sasa wapita twaganga njaa tu maofcn mwa watu..hvi kweli unaeza jfunza vyema kweli kwa style hii[/QUOTE

izo hela ARDHI UNIVERSITY 2lipewa since week ya u.e na zimeshaisha kitambo..kama hujazipata hadi leo jiulize icho unachosoma ni chuo kikuu au ""chuo kikubwa"(najua ur from udsm wewe...teh teh teh!!!)

""if your in relationship and ut make u cry everyday,bettr qsk your self whether ur dating a lover or an onion.....""

Last yr same thng happend but ardh mlicheleweshewa lyk wiki 4 udsm tulipata 1 wik b4 kufunga...seem u dont undrstnd da game here broda...try reasnin y thz happns nd stop b lyk secndry school boy
 
Last yr same thng happend but ardh mlicheleweshewa lyk wiki 4 udsm tulipata 1 wik b4 kufunga...seem u dont undrstnd da game here broda...try reasnin y thz happns nd stop b lyk secndry school boy

mwaka jana ela ya field ilitoka siku 2 kabla ya u.e kuisha..within week ya pili ya u.e..watu waliripoti kituo cha field wana laki 2 mfukoni...au unaongelea ardhi inst. ya tabora mkuu?
 
mwaka jana ela ya field ilitoka siku 2 kabla ya u.e kuisha..within week ya pili ya u.e..watu waliripoti kituo cha field wana laki 2 mfukoni...au unaongelea ardhi inst. ya tabora mkuu?

Watvr bt cha mcngi ni kujua hawa watu wanamipango gani ila vjana wote tukiwa tunafkiri kama wewe hatutofka mkuu..jenga hoja sio kutafuta marumbano
 
nashangaa sana msomi wa chuo kikuu una akili zako timamu unaanza kudiss chuo anacho soma mwenzako hivi ndiyo ili iweje na ukisha diss what next embu fanyeni udadisi wa maisha yalivyo unique kwa kila binadamu hapa chini ya jua hivi wote wangesoma Ardhi au Muhas au chuo chako ingekuwa vip
Acha kuonyesha ujinga wako mbele ya jamii tumia elimu kukukomboa wewe kwanza kabla hujaikomboa jamii inayokutegemea

OVER
 
Kaka mbota nimekuelewa mkuu.. watu kama hawa wanapaswa kupewa darasa la ziada.
 
Back
Top Bottom