Hela za PT Kwa vyuo vikuu

x.jamex1

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
76
Reaction score
27
Samahani wandugu hvi kuna yyote mwenye update juu ya hzi pesa za pt a.k.a practcal trainings coz cielew hii serikali inampngo gani mwezi sasa wapita twaganga njaa tu maofcn mwa watu..hvi kweli unaeza jfunza vyema kweli kwa style hii
 
Hizo pesa zimeenda bungeni muwe wapole tu baada ya wiki mbili bodi watarelease
 
 
 
 
 
nashangaa sana msomi wa chuo kikuu una akili zako timamu unaanza kudiss chuo anacho soma mwenzako hivi ndiyo ili iweje na ukisha diss what next embu fanyeni udadisi wa maisha yalivyo unique kwa kila binadamu hapa chini ya jua hivi wote wangesoma Ardhi au Muhas au chuo chako ingekuwa vip
Acha kuonyesha ujinga wako mbele ya jamii tumia elimu kukukomboa wewe kwanza kabla hujaikomboa jamii inayokutegemea

OVER
 
Kaka mbota nimekuelewa mkuu.. watu kama hawa wanapaswa kupewa darasa la ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…