Ni mara nyingi huwa tunajisahau na kudhani kuwa vita ya kumkomboa mwafrika ilipiganwa (?) na mtu mweusi peke yake. Tunawasahau wakina Ruth First, Joe Slovo, Athol Fugard, Nadine Gordimer na wengine ambao walisimama kidete kumpigania mtu mweusi Afrika ya Kusini. Leo mmoja wao, Helen Suzman ( bofya hapa kwa habari zaidi:BBC NEWS | Africa | Suzman 'brave voice' on apartheid) ametutoka.