guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,268
- 2,330
Hivi hawa jamaa wa Arusha Tech waliishia wapi na mpango wao wa kutengeneza Helikopta. Mana sioni update yoyote au wameingia mitini. Leo nimemuona kijana mahali anahangaika kutengeneza gari lake sasa nikawakumbuka hawa wazee wa techn waliotutangazia kuwa huenda tungeanza kuwa na chombo chetu cha anga (Japo wenzetu wanahangaika kupeleka vifaa mwezini huko). Sisi kwanza bado tunahamasishana kujenga choo eti CHOO NI NYUMBA hahahah sory NYUMBA NI CHOO (hahah kiswahili kigumu).
Anyway any update wakuu
Anyway any update wakuu