Hivi hawa jamaa wa Arusha Tech waliishia wapi na mpango wao wa kutengeneza Helikopta. Mana sioni update yoyote au wameingia mitini. Leo nimemuona kijana mahali anahangaika kutengeneza gari lake sasa nikawakumbuka hawa wazee wa techn waliotutangazia kuwa huenda tungeanza kuwa na chombo chetu cha anga (Japo wenzetu wanahangaika kupeleka vifaa mwezini huko). Sisi kwanza bado tunahamasishana kujenga choo eti CHOO NI NYUMBA hahahah sory NYUMBA NI CHOO (hahah kiswahili kigumu).
Anyway any update wakuu
Kwa vyovyote mkuu hata kama wanatengeneza sawa tu watupe mrejesho kama isha anza kukata mbugaMkuu ni Kuunda au kutengeneza??
Nadhani unamaanisha kuunda, Kama hatujaweza kuunda mashine,mfano, power tiller, pikipiki,na nyenzo zingine rahisi, je itawezekanaje turukie hatua ya juu zaidi ya kuunda helkopta??,
Wenzetu walianza na vitu rahisi hatua kwa hatua hadi leo wameweza kurusha "space shuttle." the sophisticated machine.
Nakubaliana na wewe mkuu laiti tungeendeleza hivi vipaji tungekuwa mbali sana sa iviTatizo ni mfumo wa nchi yetu...ukigundua kitu hupewi sapoti...unakumbuka yule jqmaa wa Njombe kama sikosei aliunda helicopter yake mamlaka ya hali ya hewa ikampiga mrufuku kujaribu kuirusha...
kumbe serikali na wataalamu wake wangeipitia project ya jamaa na kumsaidia pale alipokwama..
Wapo watu wengi tu wanavipaji vya kuunda hata bunduki lakini ole wako ushikwem...watu kama hawa wangechukuliwa wapewe mafunzo zaidi tungekuwa na vya kwetu vya kujivunia....
Sisi tutabaki kurudia chaguzibza madiwani na wabunhe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vyovyote mkuu hata kama wanatengeneza sawa tu watupe mrejesho kama isha anza kukata mbuga
Nakubaliana kabisa. Serikali nayo inasehemu ya kujibu katika hili. Mimi nadhani usubutu haupo kabisa pale NIT kuna wataalamu wa masuala ya anga, UDSM bila shaka wanao, DIT kwa nini tusiunde project inayowaleta wataalamu wote pamoja wakainua kitu anagani. Hii one man show ndo baadaye unasikia huruhusiwi kurusha helikopta. Hii nchi yetu ni kama bongo zetu hazitumiki kabisa.Mkuu, kwa muda wote huu kama ingefanikiwa/ingefaulu kuruka tayari vyombo vya habari vingeishatangaza mapema lakini kwa ukimya huu maana yake mambo bado sana.
Na hili ni jambo la kusikitisha kwa taasisi ya kielimu kushindwa kufanikisha jambo hilo kwani ukiangalia kwenye u tube utaona watu binafsi wakiunda helkopta (one manned) rahisi sana, labda nadhani tumekosa teknolojia ya aerodynamic ambayo ni muhimu sana kwa vyombo vya angani ili viweze kuruka.
Nakubaliana kabisa. Serikali nayo inasehemu ya kujibu katika hili. Mimi nadhani usubutu haupo kabisa pale NIT kuna wataalamu wa masuala ya anga, UDSM bila shaka wanao, DIT kwa nini tusiunde project inayowaleta wataalamu wote pamoja wakainua kitu anagani. Hii one man show ndo baadaye unasikia huruhusiwi kurusha helikopta. Hii nchi yetu ni kama bongo zetu hazitumiki kabisa.