Ivo ivo ndio kamaanisha wala usimjudge..!!Mimi sijamwelewa hapo Makamba. Ajali inapotokea kuna mambo matatu yanaweza kutokea nayo ni Kifo, majeruhi au Salimini(Uzima kabisa), sasa anaposema Majeruhi wasiwepo, anataka wawepo Waliosalimika na waliokufa?
Nadhani anapaswa kuwa smart anapoandika kwenye wall yake, la sivyo italeta tafsiri mbaya.
Taarifa za awal ni mzima!!!!,
Taarifa kamil je?
Mtangazaj alikua anatetemeka!!!! Kuna utata
Magufuli uapishwe mapema
Kama ni kweli mbona uchaguzi wa mwaka huu utakua ni kiyama kwa wanasiasa huenda matunguri wanayokwenda kufukiziwa na waganga wa kienyeji kwa kutumia viungo vya albino ili pate madaraka yameanza kuwatafuna wenyewe.
Kakojoe ulale dogo kesho Shule.Habari zimezagaa kuwa kuna helkopta imeanguka katika milima ya seleous na kuwaka moto ikiwa na watu wanne miongoni mwao ni Deo Filikunjombe. Mods naomba mfatilie kama ni kweli au kama kuna mwenye taarifa za uhakika atujuze
Source: Facebook page ya Mwiguli Nchemba na Twitter ya January Makamba
Wewe umeshanganyikiwa aapishwe kama nani?