Helkopta ndio "imetonesha" majeraha ya Lissu? Namshauri ashughulikie afya yake, asifanye Urais jambo la dharura kwake

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?

Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
 
Urais. =urahisi
 
Sawa, una ushauri mwingine?
 
CCM mnamuogopa Lissu a.k.a Trump
 
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?

Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
Lisu ndo Trump wa Tz,tulia dawa ipo jikoni
 
Wewe kapuku achana na Chadema, unajua tukiacha Wajinga kama nyie mkaendelea kuleta ujinga wenu humu wote tutaonekana Wapumbavu.

Nani kaukuambia huo upuuzi wako? Lissu alishafafanua humu kuhusu huo uzandiki wenu mbona bado mnazusha tu?
Wenzao wanaiba wao wapo huku kupotosha watu,Ngoja tuone chura Kiziwi kama ataweza Kampeni mwakani nchi nzima.
 
Lissu anachofanya ni kujipotezea tu muda. Wanaofaidika na CHADEMA ni Mbowe na wenzake kutoka Machame. Juzi nimeona yupo kwenye helikopta na mwanae James pamoja na Lema. Hiyo helikopta ni wamachame tu? Namshauri Lissu ahamie CCM anaweza akapata hata cheo cha katibu mwenezi CCM mkoa wa Singida.
 
Aliyekuloga naye kalogwa
 
Lissu ana akili timamu hawezi kuja CCM maadui zake wakubwa. Lissu hana ugomvi na Chadema wala kiongozi yoyote wa Chadema tofauti na hizo propaganda zenu mfu. Mumechukua huyo tumbili Msigwa hangaikeneni naye kwanza.
 
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?

Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
Msimshangae sana Lussu. Hili nawakumbusha kila siku, lakini naona bado halijawaingia, Lussu ana aina ya utaahira uitwao usonji "autism".

Wenye usonji huwa waking'ang'ania kitru ni piga uwa lazima akipate, hasikii la mwadhini wala mteka maji msikitini.

Hiyo sikisii na kuna siku mtajihakikishia.
 
Tanzania Lissu anaogopwa sana alipigwa risasi na KGAKDHAKG…
USA Trump anaogopwa sana amepigwa risasi
Uganda Robert anaogopwa sana alipigwa risasi kwenye msafara wake dereva akafariki

Tujiulize ma swali kwanini wanaogopwa?

Britanicca
 
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?

Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
Ratiba ilionesha TAL atakuwepo kwenye uzinduzi wa mikutano pale Karatu na alikuwepo alipomaliza mkutano ameendelea na ratiba yake ya mapunziko na kwenda kucheki afya yake kama kawaida akirejea moto kama kawaida kama alivyovuruga Singida huko
 
Mbona nasikia kuna vyuma vilichomoka
 
Back
Top Bottom