Zak Malang JF-Expert Member Joined Dec 30, 2008 Posts 5,404 Reaction score 239 Aug 26, 2010 #81 Rev Masanilo said: Ona huyu naye! Kazi ipo ukiwa na watanzania kama huyu asiyependa ukweli Click to expand... Ni mmojawapo kati ya wale mamilioni waliozagaa nchi nzima ambao giza huita mwanga na vice versa!!!!!
Rev Masanilo said: Ona huyu naye! Kazi ipo ukiwa na watanzania kama huyu asiyependa ukweli Click to expand... Ni mmojawapo kati ya wale mamilioni waliozagaa nchi nzima ambao giza huita mwanga na vice versa!!!!!
Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 22,227 Reaction score 49,628 Aug 26, 2010 #82 Jamani hali ya hewa huko inasemaje helkopta inaweza kuruka, kama bado nasikia watu wa huko bado wako tanganyika usafiri wao mkuu ni wa punda unaweza kusaidia katika kipindi hiki cha majonzi.
Jamani hali ya hewa huko inasemaje helkopta inaweza kuruka, kama bado nasikia watu wa huko bado wako tanganyika usafiri wao mkuu ni wa punda unaweza kusaidia katika kipindi hiki cha majonzi.