Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Jamani tupatieni hapa jina la mgodi huu... Barrick au??? Hawa makburu nao wawe makini maana wasije wakajua Watanzania ni mabwege maana sisi si mabwege tena!:mad2:Wakat kikwete akiwa Wilaya ya Ngara Helkopta 1 aliyokuja nayo ilkuwa na Makaburu zaidi ya 6 wamiliki wa Mgodi wa***************** kinachosemwa kinaweza kuwa na ukwel ndani yake
Ndo maana nasema kuichagua CCM itakuwa ni grave mistake kwa watanzania. Kwa sababu CCM ndo wataintesify Ufisadi wakijua kwamba whatever they do bado wananchi watawasupport tu.Niko makuburi nasikiliza mkutano wa chadema. Muda huu mnyika anaongea. Muda mfupi kidogo alizungumza mabere marando. Alisema kuwa helkopta moja ni ya fisadi mmoja kijana wa kihindi ana miaka 36. Ya pili ni ya makaburu wamiliki wa mgodi wa dhahabu. Wanatafua mmiliki wa helkopta ya tatu. Mtu huyu ataweza kuwakemea hawa wanaomfadhili? Ni wakati wa maswali na majibu sasa
vpi mahudhurio na muonekano wa watu? wako excited? je imani yao kwa Slaa ikoje kwa jinsi wewe ulivyoona hapo uwanjani? je wako tayari kuyakubali haya mabadiliko yanayokuja endapo CHADEMA itaingia madarakani? tujuze toka hapo uwanjani kwa ufupi?
Hivi hiyo sheria ya gharama za uchaguzi haisemi lolote kuhusu kufadhiliwa na makampuni yenye interest za kibiashara nchini? Mliokwisha isoma tuambieni. Hata ethics zinakataza makampuni kuonyesha ushabiki wa wazi wazi kwa wagombea wa vyeo vya siasa.Niko makuburi nasikiliza mkutano wa chadema. Muda huu mnyika anaongea. Muda mfupi kidogo alizungumza mabere marando. Alisema kuwa helkopta moja ni ya fisadi mmoja kijana wa kihindi ana miaka 36. Ya pili ni ya makaburu wamiliki wa mgodi wa dhahabu. Wanatafua mmiliki wa helkopta ya tatu. Mtu huyu ataweza kuwakemea hawa wanaomfadhili? Ni wakati wa maswali na majibu sasa
kampeni ya shuka kwa shukaHeee, mwaka huu hakuna siri. Yaliyo chini ya kitanda au meza yatawekwa kinarani.
Niko makuburi nasikiliza mkutano wa chadema. Muda huu mnyika anaongea. Muda mfupi kidogo alizungumza mabere marando. Alisema kuwa helkopta moja ni ya fisadi mmoja kijana wa kihindi ana miaka 36. Ya pili ni ya makaburu wamiliki wa mgodi wa dhahabu. Wanatafua mmiliki wa helkopta ya tatu. Mtu huyu ataweza kuwakemea hawa wanaomfadhili? Ni wakati wa maswali na majibu sasa
Niko makuburi nasikiliza mkutano wa chadema. Muda huu mnyika anaongea. Muda mfupi kidogo alizungumza mabere marando. Alisema kuwa helkopta moja ni ya fisadi mmoja kijana wa kihindi ana miaka 36. Ya pili ni ya makaburu wamiliki wa mgodi wa dhahabu. Wanatafua mmiliki wa helkopta ya tatu. Mtu huyu ataweza kuwakemea hawa wanaomfadhili? Ni wakati wa maswali na majibu sasa
sijaona Tatizo! Tatizo waliojitolea wana rangi tofauti na sisi AU..?