Helkopta zitumike kuwatoa wageni uwanja wa ndege, ili barabara zisifungwe

Helkopta zitumike kuwatoa wageni uwanja wa ndege, ili barabara zisifungwe

Tukuza hospitality

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
321
Reaction score
691
Wageni wa Kimataifa Wasifunge barabara jijini Dar.
Hivi karibuni tumekuwa na neema ya kupata wageni, wakuu wa nchi za Afrika jijini Dar kwa ajili ya mikutano.
Helkopta zitumike kuwatoa wageni uwanja wa ndege. Tusifunge barabara! Au mikutano hii ifanyike jijini Arusha.
 
Back
Top Bottom