Majority rule: Mfumo wa kimaamuzi unaofuata matakwa/ Maoni ya walio wengi.
Minority right: Haki ana/wana/zostahili mtu/kundi walio na sifa ya aina moja(Rangi, Imani, tabia, mtazamo) inayowaunganisha, wenye kuwa na idadi ndogo ya watu kulinganisha na ile ya makundi/kundi la watu wenye sifa zenye kukinzana na yao ambao wamewazunguka katika jamii waliyopo.